KITAIFA
September 23, 2024
193 views 3 mins 0

TAMWA YAZINDUA MAKALA INAYOMLENGA MTOTO KUPATA ELIMU BORA NA ELIMU JUMUISHI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Chama Cha Wanahabari wanawake Tanzania TAMWA imezindua Makala yake mpya inayoangazia elimu Bora na Elimu jumuishi Kwa wanafunzi Katika shule za umma Makala hiyo ni Kampeni ya kipindi Cha mwezi mzima  inayolenga kuelimisha jamii Kuhusu umuhimu wa kuwapeleka watoto shule Kwa wakati,hasa wale waliohatarini zaidi.kuacha shule na inalenga […]