KUKANUSHA TANGAZO LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO KUHUSU
MPANGO WA RAIS WA UWEZESHAJI WA VIJANA
Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa za utapeli zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa Mpango wa Rais wa Uwezeshaji wa Vijana, Taarifa hiyo yenye kichwa cha habari โMpango wa Rais wa Uwezeshaji Vijanaโ, inawahamasisha Vijana kuomba Ufadhili wa kitaifa wa uwezeshaji vijana 2023 kupitia Tovuti yenye anuani;(https://youth.empower.tzn.formsite.online) kwa ajili ya zoezi la […]