MICHEZO
March 17, 2025
47 views 2 mins 0

WATEMBEZI WA MIGUU WATEMBEA KUTOKA KIGOMA MPAKA KIZIMKAZI KUMFATA RAIS SAMIA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Shirika la Kijamii linaloitwa APHI FOUNDATION,  lenye makao makuu Jijini Mwanza linaendelea na matembezi yao ya Hisani waliyoyaratibu na sasa wamevuka Jijini Dar es Salaam na muelekeo ni Visiwani Zanzibar lengo ikiwa nikufika mpaka Kizimkazi alipozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi mtendaji […]

KITAIFA
August 24, 2024
324 views 37 secs 0

KAPINGA AKIKAGUA MABANDA YA NISHATI KIZIMKAZI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati  inashiriki katika  tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma  moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na  Taasisi zake pamoja na kutoa elimu […]

KITAIFA
August 24, 2024
352 views 5 secs 0

RAIS SAMIA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KIZIMKAZI ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya Tisa ya Tamasha maarufu la Kizimkazi Kusini Unguja visiwani Zanzibar. Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake […]

KITAIFA
August 23, 2024
181 views 4 mins 0

RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA-DKT BITEKO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia Apongeza ubunifu wa mita za kupimia gesi Wadau wahamasishwa kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni kinara wa […]

KITAIFA
August 23, 2024
258 views 36 secs 0

DKT BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar. Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya […]

KITAIFA
August 22, 2024
212 views 2 mins 0

MHE KAPINGA SERIKALI IMEDHAMIRIA KILA MTANZANIA KUPATA UMEME

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha unganishwaji wa huduma ya umeme katika maeneo yote nchini Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mtanzania kupata umeme kwenye nyumba yake kuanzia  ngazi za mikoa mpaka vitongoji. Mhe. Kapinga amesema hayo Agosti 21, 2024 […]