SITA WAPANDISHWA KIZIMBANI WAKITUHUMIWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
NA MWANDISHI WETU, KILIMANJARO WAKAZI wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57. Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema, Nterindwa Mgalle, na Stephanie Mrutu, walisomewa […]