TAKUKURU NI CHOMBO MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA – DKT.MHAGAMA
Na.Lusungu Helela- ROMBO Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ni chombo muhimu kwa ustawi na maendeleo ya Taifa la Tanzania na Watu wake. Amesema ndoto ya Tanzania ijayo haiwezi kutimia bila uwepo wa chombo hicho. […]