TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YATOA NEEMA KWA WALEMAVU
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao, imemaliza Mwaka 2024 na kuukaribisha Mwaka wa 2025 Kwa kutoa misaada mbalimbali Kwa watu wenye ulemavu na mahitaji Maalum. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Desemba 31, 2024 hafla hiyo ya utoaji msaada huo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Meya wa […]