KITAIFA
April 18, 2024
175 views 2 mins 0

MGODI WA MAGAMBAZI KUZALISHA KILO 25 ZA DHAHABU KWA MWEZI IFIKAPO AGOSTI 2024

Na Mwandishi Wetu TANGA Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7 Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi […]

KITAIFA
April 17, 2024
334 views 3 mins 0

WANANCHI WANUFAIKA NA MIGODI YA MADINI YA DOLOMITE TANGA

Na Mwandishi Wetu Wananchi wa Kijiji cha Kwedikwazu kilichopo wilayani Handeni mkoa wa Tanga wameipongeza Serikali  kwa hatua mbalimbali zinazoendelea kufanyika ili kuleta maendeleo ya Kudumu kupitia Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Kikundi cha Wanawake cha Mwanzo Mgumu, Bi Saumu Kisaka wakati akizungumza na timu ya Maafisa Habari wa Wizara ya Madini […]

KITAIFA
March 08, 2024
157 views 25 secs 0

WATUMISHI WANAWAKE GST WAADHIMISHA SIKU YAO DUNIANI

*Waziri Gwajima atoa wito kwa Wanawake* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa Wanawake kufanya kazi kwa bidii na weledi kwa kuwa wanauwezo wa kufanya kazi nyingi  kwa umakini na kwa uaminifu mkubwa. Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika Kilele cha Maadhimisho ya […]