DKT BITEKO ATAKA WATANZANIA KUMUENZI SOKOINE KWA KUFANYA KAZI
MOROGORO *๐Hayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi* *๐Anakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa.* *๐Dkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua uchumi wa […]