JUMUIYA YA WANAHABARI WAUNGA MKONO KAMPENI YA MAMA NIVUSHE 2025
DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa jumuiya ya waandishi wa Habari JUMIKITA Shabani omari matwebe Amesema jambo lolote ambalo linakuwa na tija na linahusika na wananchi inapaswa waandishi wa habari kuliunga mkono Kwa kulichukua na kulifikisha Kwa jamii Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 24,2023 Mwenyekiti wa jumuiya ya waandishi wa […]