KAMERA 40 KUFUNGWA SOKO LA KARIAKOO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA DAR ES SALAAM: KATIBU Tawala mkoa wa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila amesema katika kuhakikisha usalama katika soko la Kariakoo, tayari serikali kupitiaย Halmashauri ya jiji hilo imeshasaini mkataba na Wakalawa Ufundiย na Umemeย Tanzaniaย TAMESA kwaajili ya ufungaji wa kamera 40 za ulinzi ( CCTV Camera) […]