SKECHERS INAWATAKA WATANZANIA KUTUMIA VIATU MAALUM KUTIBU MAGONJWA YA MIGUU
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kampuni ya viatu ya Skechers kwa kushirikiana na Madaktari bingwa wa magonjwa yasio ya kuambukiza hususani miguu imewataka Watanzania kutumiaย viatu maalumu ambavyo vimetengenezwa kwa teknolojiaย ambayo itaasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya miguu Akizungza leo Jijini Dar es salaam na Waandishi wa habari Daktari bingwa wa magonjwa yasio ya […]