MICHEZO
August 07, 2024
42 views 4 mins 0

SIMBA WAKIFUNGWA WAFURAHIE TU: MANARA

NA Anton Kiteteri Awambia wanayanga waje waone mpira wa hesabu. Dar es Salam KATIKA kuelekea mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga,msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewambia wanachama na mashabiki wa Simba wafurahie hata kama watafungwa kwa maana watakuwa wamefungwa na timu bora. Manara  ambaye […]

MICHEZO
February 19, 2024
179 views 56 secs 0

‘PACCOME DAY’.SIKU YA KUPAKA BLEACH KWA WANAYANGA

DAR ES SALAAM Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad, afisa habari wa Yanga, Ali Kamwe ameitangaza siku hiyo kuwa maalum kwa mchezaji Paccome Zouzoua ‘Paccome Day’. Mchezo huo wa kundi ‘D’  ambao utachezwa Jumamosi Februari 24,2024 utawalazimu mashabiki wa Yanga kupaka ‘Bleach’ kichwani au kwenye ndevu […]

MICHEZO
December 02, 2023
139 views 36 secs 0

YANGA SC NA AL AHLY YAONESHANA UBABE YAPATA USHINDI WA 1-1

Mashindano ya klabu bingwa barani afrika hatua ya makundi imeendelea leo Jumamosi December 02,2023 kwa kuchezwa michezo mbalimbali huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na Yanga. Yanga imejitahidi kucheza Zaidi ya waarabu hao ambao gemu ilikuwa ngumu lakini waliweza kuoneshana ubabe Kwa kipindi Cha kwanza kutoweza kupata matokeo na kipindi Cha pili kupata magoli Moja Moja […]

MICHEZO
November 05, 2023
236 views 45 secs 0

ROBERTINHO:NAIPONGEZA YANGA KUSHINDA DERBY

Akizungumza baada ya timu yake kufungwa magoli 5-1 katika mchezo dhidi ya Yanga, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira “Robertinho” amesema kipindi cha pili wachezaji wake walipoteza umakini na ndio maana wakaruhusu magoli mengi Amesema “Magoli mawili tuliyofungwa kipindi cha pili wachezaji wetu (Simba) walizubaa na kupoteza umakini, walifikiri kuna faulo wenzetu wakaendelea kucheza na wakafunga. […]

MICHEZO
August 12, 2023
179 views 16 secs 0

MCHUNGAJI MASHIMO AWAOMBA TFF KUMFUNGULIA ADHABU HAJI MANARA HARAKA IWEZEKANAVYO

Mchungaji wa Taifa Daudi mashimo atabirikushinda Kwa Timu ya Simba SC dhidi ya yanga SC Katika mchezo utakao pigwa Katika dimba la ccm mkwakwani mkoani Tanga Mashimo amesema kesho yanga hawatoweza kushinda Kwani simba Ipo Katika usajili mzuri na yanga kesho wakubali tu matokeo ya kufungwa na Katika ligi watakuwa watu watatu Amewaomba mashabiki wa […]

MICHEZO
August 06, 2023
208 views 31 secs 0

LEO SIMBA DAY KITAUMANA UWANJA WA MKAPA

LEO Jumapili linafanyika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali, kisha kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2023/24 kitatambulishwa rasmi, ikifuatiwa na mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya Power Dynamos. Kuelekea tamasha hilo, Wanasimba wameendelea kuwatambia wapinzani wao wakiwaambia: “Njooni muige, Simba raha tupu, sisi […]