MICHEZO
April 25, 2025
24 views 52 secs 0

SERIKALI BEGA KWA BEGA NA SIMBA SC AFRIKA KUSINI MPAKA ITINGE FAINALI YA CAF

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Serikali imeendelea kuwapa ushirikiano klabu ya Simba ili kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili na kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mhe. Mwinjuma ameyasema hayo April 25, 2025 jijini Johannesburg Afrika Kusini,  kwenye tukio la Simba SC […]