KITAIFA
March 21, 2025
34 views 47 secs 0

WANYAMAPORI WAPAMBA  SIKU YA MISITU DUNIANI

Na John Mapepele Kwa mara ya kwanza  katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu  hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe  Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi ya siku […]