RAIS DKT MWINYI AKOSHWA NA MDAHALO WA WANAWAKE NA MUUNGANO,AIPONGEZA UWT
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiย ameipongeza Jumuiyaย yaย Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa waliyoifanya kuwaletea maendeleo wanawake na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuandaa mdahalo wa wanawake na Muungano. Pia, ameupongeza umoja huo kwa […]