WARUMISHI WA NISHATI WATOA ELIMU YA NISHATI SAFI
DODOMA-CHAMWINO Wanawake wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino. Katika madhimisho hayo watumishi wametumia siku hiyo kuelimisha wananchi mbalimbali kuhusu nishati safi ya kupikia. Akitoa elimuย kwa baadhi ya wananchi Joyce Msangi afisa Misitu, alisema utumiaji wa nishati safi ya kupikia unalinda afya […]