RAIS SAMIA : TANZANIA NI MSIMAMIZI MPANGO WA NISHATI SAFI AFRIKA*
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Asema Ajenda ya Nishati Safi ni ajenda ya Nchi hivyoย tunaisimamia Afrika. ๐Nishati ni Mpango wa Maendeleo endelevu ๐Umeme umesambazwa Vijiji vyote nchini *๐Arusha* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassanย amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika. Amesema hayo wakati akizungumzaย […]
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Wizara ya Nishati yajivunia jitihada katika kulinda haki, usawa na kuwawezesha wanawake* ๐ *Kapinga asema lengo ni kuboresha ustawi wa mwanamke na kuongeza thamani yake.* Katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshajiโ Wizara ya Nishati […]