WALIYOYAPAMBANIA WANAWAKE WENZETU MATUNDA YAKE TUNAYAONA – MBUJA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐ *Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi.* Mkuu wa Kitengo cha Mawasilianoย Serikalini Wizara ya Nishati,ย Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambaniaย katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa naย haki, usawa na uwezeshaji kwa wanawake matunda yake yanaonekana hivi […]