KITAIFA
May 01, 2024
334 views 2 mins 0

KICHEKO KWA WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI

*Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi* Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo leo Mei 01,2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewafurahisha watumishi wa Umma kwa kuonesha nia ya Serikali ya kuendelea kuwapandisha madaraja, kuendelea […]