MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI 2024,CHAGUA NJIA,TOKOMEZA UKIMWI
Leo, tarehe 1 Desemba 2024, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Maadhimisho haya yanayoratibiwa kitaifa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), mwaka huu yanafanyika mkoani Ruvuma yakibeba kauli mbiu yenye nguvu na matumaini: *“Chagua Njia, Tokomeza UKIMWI.”* Kauli mbiu hii haizungumzii tu mbinu za […]