KITAIFA
January 06, 2024
364 views 6 mins 0

DKT BITEKO: TUYAENZI NA KUYALINDA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

*📌Aweka Jiwe la Msingi Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari Wilaya ya Mkoani- Kusini Pemba* *📌Ufunguzi wa Afisi hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka ya 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar* *📌Asema Serikali itaendelea kupeleka huduma bora kwa wananchi* Pemba – Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa […]