WAZIRI CHANA AWATAKA WATANZANIA KUWAENZI MASHUJAA
Na Happiness Shayo-Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa waliopigania Vita ya Kwanza ya Dunia iliyofanyika […]