WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUTOA ELIMU ZAIDI YA HOMA YA INI
Na Anton Kiteteri Wakati Dunia inaadhimisha Siku ya Homa ya Ini wananchi wamelalamikia kukosekana kwa elimu juu ya ugonjwa huo, hali ambayo inasababisha watu wengi kushindwa kufahamu namna ya kujikinga. Wananchi hao wanasema kukosekana kwa elimu kunasababisha wengi wao kuchelewa kugundua na kutibu ugonjwa na kuufanya usambae na kusababisha ongezeko la maambukizi. Pia wananchi wengi […]