SHIRIKA LA VIWANGO TBS LIMEWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA KUSAJILI BIDHAA ZAO
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthibitisha ubora wake pamoja na kusajili maeneo yanayohusika na uzalishaji, uuzaji na uhifadhi kwa mujibu wa matakwa ya sheria ya viwango Sura ya 130 ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza. Wito huo umetolewa leo Mei 3, 2024 Jijini Dar es […]