KITAIFA
September 07, 2023
358 views 3 mins 0

NCHI ZA TANZANIA,ZAMBIA KUSHIRIKIANA NA UCHINA KATIKA UBORESHAJI RELI YA TAZARA

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es […]