MASABURI:AMEZITAKA MASHIRIKA YA NYUMBA KAMA NHC KUBUNI MAJENGO YA WAPANGAJI WA HALI YA CHINI
DAR ES SALAAM:Madina Mohammed Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Janeth Masaburi amezitaka taasisi za serikali zinazohusika na ujenzi wa nyumba za makazi kama NHC kubuni majengo ya wapangaji kwa wananchi wa kipato cha chini ili kulipanga jiji la Dar es salaam. Wito huo ameutoa leo Disemba 14,2023 wakati wa ziara ya […]