SHIRIKA LA NYUMBA LIMETIA MWEZI MMOJA KWA WADAIWA SUGU
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mwezi mmoja kwa wadaiwa sugu kulipa madeni, na kuwa watakao kaidi maelekezo hayo, watakuwa wameruhusu Shirika kuwatangaza katika vyombo vya habari ili Mashirika na makampuni mengine yasiingie kwenye makubaliano ya kibiashara na mtu au kampuni inayodaiwa. Hayo yamebainishwa leo Agosti 15, 2023 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi […]