KITAIFA
May 26, 2024
152 views 3 mins 0

VIONGOZI WA AFRIKA WAANGAZIA VIPAUMBELE MUHIMU VYA AFYA KWA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA SABINI NA SABA WA AFYA DUNIANI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema umuhimu wa kujadili matokeo ya Kikundi Kazi kuhusu marekebisho ya Kanuni za Afya za Kimataifa (2005) na hatua iliyofikiwa na Bodi ya Majadiliano ya Serikali (INB) katika kuandaa na kujadili mkataba au makubaliano ya WHO […]