SHIRIKA LA AAPH:LIMETOA TAFITI ZA MATATIZO YA AFYA YA AKILI KUWAPATA HASA VIJANA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kumekuwa na Changamoto ya mfumo wa maisha Katika jamii watu wengi huwa wana matumizi ya madawa ya kulevya na wengine kuwa na msongo wa mawazo pamoja na kuongezeka kwa vitendo vya unyanyasaji na Unyanyapaaji kwa watu mbalimbali kumechangia kuongezeka kwa matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Vijana. […]