WANANCHI NCHINI BURUNDI WAKO TAYARI KWA SGR
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Shirika la Reli Tanzania (TRC), limefanya ziara ya nchini Burundi na kukutana na wadau mbalimbali kufuatia kutiwa saini utekelezaji wa Mradi wa SGR awamu ya pili ya kipande cha saba kutoka Uvinza Tanzania na kipande cha nane kutoka Malagarasi – Msongati, Burundi. Mkatab wa Mradi huo ambao umeasisiwa na Rais wa […]