RC CHALAMILA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA WENYEVITI WAPYA WA SERIKALI ZA MITAA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amemwakilisha Waziri wa TAMISEMI kuzindua mafunzo kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Novemba 27 mwaka huu na kuwataka kufanya kazi yao kwa uadilifu ili kuhakikisha wanakuwa kiungo bora kati ya Serikali na wananchi kwa kuwatumikia ipasavyo wananchi na kukomesha migogoro ya ardhi katika maeneo […]