KITAIFA
December 28, 2023
177 views 17 secs 0

RAIS MWINYI ARIDHIA UWANJA WA AMAAN KUITWA “NEW AMAAN SPORTS COMPLEX”

Na, Brown Jonas – WUSM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameridhia ushauri wa kuubadili jina uwanja wa Amaan na kuitwa โ€œNew Amaan Sports Complexโ€ wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Uwanja huo uliofanyika Desemba 27, 20203 kisiwani humo Rais Mwinyi ameridhia ushauri huo uliotolewa […]

KITAIFA
November 28, 2023
203 views 39 secs 0

SERIKALI KUWANOA WANAMIPANGO

Na Georgina Misama โ€“ MAELEZO Serikali kupitia Tume ya Mipango imekutana na wanamipango kutoka kwenye Wizara, Idara zinazojitegemea, Mashirika ya Umma na Halmashauri nchini ili kupata mwelekeo wa Serikali katika utekelezaji wa majukumu katika sehemu zao za kazi. Akiongea mapema leo Novemba 28, 2023 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Lawrence Mafuru amesema kuwa kongamano […]

KITAIFA
June 17, 2023
105 views 3 mins 0

Karibu wa kamati maalum ya NEC awasihi wananchi wa Zanzibar kuepuka upotoshaji

Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Khamis Mbeto Khamis,amewasihi wasomi nchini kufanya utafiti wa kina wa kufuatilia na kutathimini kitaalamu miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ili wananchi wajue mafanikio hayo. Akizungumza katika kongamano la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, la kuelekea miaka […]