Uncategorized
June 20, 2023
424 views 4 mins 0

Waziri mkuu: Serikali haitodharau maoni na ushauri WA watanzania kuhusu bandari

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]

KITAIFA
June 17, 2023
234 views 2 mins 0

SERIKALI YATOA RAI KWA WATUMISHI WA UMMA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa rai kwa Taasisi Simamizi na Vyama vya Kitaaluma kuhimiza na kuwasimamia watumishi kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wananchi. Akizungumza Jijini Dodoma Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, […]

KITAIFA
June 16, 2023
88 views 3 mins 0

Nambia yaipongeza Tanzania kuwekeza katika matibabu ya moyo

Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Masuala ya Usawa wa Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Familia kutoka Bunge la Namibia wameipongeza Serikali kwa kuimarisha huduma za matibabu ya moyo jambo ambalo limewafanya watanzania na mataifa mengine kutibiwa moyo hapa nchini. Pongezi hizo zimetolewa na wabunge hao jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea Taasisi […]

MICHEZO
June 01, 2023
69 views 22 secs 0

TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea kutoa ajira kwa watu wengi zaidi hatua inayosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.  Bw. Yakubu amesema katika kikao chake na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) Dkt. Shiraishi Tomoya Juni […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
66 views 2 secs 0

AIR TANZANIA CARGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Makame Mbarawa atazungumza na waandishi wa habari kuhusu upokeaji wa ndege hiyo. Amesema hayo leo Mei 31, 2023 katika […]