RAIS SAMIA AUNDA TUME MBILI YA NGORONGORO
Na Madina Mohammed ARUSHA Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samia Suluhu Hassan Ameunda tume mbili Ambapo Moja atachunguza na kutoa mapendekezo Kuhusu maswala ya ardhi wanayolalamikiwa na wakazi wa ngorongoro.Tume nyengine itaangalia utekelezaji wa zoezi zima la uhamiaji wa hiari kutoka eneo la ngorongoro. Dkt Samia ameyasema Leo ikulu ndogo ya Arusha […]