MICHEZO
September 11, 2024
32 views 32 secs 0

RAIS SAMIA AMETOA KIASI CHA MILION 30KWA AJILI YA TIMU YA TAIFA YA WASICHANA ‘SERENGERI GIRLS ‘

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 ajili ya timu taifa ya wasichana โ€˜Serengeti Girlsโ€™, ubingwa wa UNAF U-17 zilizofanyika Tunisia 2024. Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Damas Ndumbaro akiwakabidhi fedha hizo wachezaji hao kwenye makao makuu ya Shirikisho la mpira […]