SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA VIJANA JINSI YA KUWASILISHA BUNIFU ZAO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH Dr AMOS NUNGU amesema Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kukuza bunifu za kisayansi na teknolojia kwa vijana hivyo kuwahimiza vijana kuendelea kuwasilisha bunifu zao ili ziendelezwe na kuleta tija kwa taifa Akizungumza hii leo Jijini Dar […]