NAIBU WAZIRI SANGU ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TASAF MKOANI IRINGA
Na Lusungu Helela- IRINGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Iringa huku akiitaka Mikoa mingine kuiga mfano wa Iringa kwenye matumizi bora ya fedha za Mfuko huo. Mhe.Sangu ametoa […]