SAMIA KALAMU AWARD KUTOLEWA APRIL 29
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kimesema hafla ya utoaji tuzo za uandishi wa habari za maendeleo, maarufu kama Samia Kalamu Awards itafanyika April 29 mkoani Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mkuu wa TAMWA Dk. Rose […]