KOMBE LA SAMIA CUP KUWASILI ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib mhe, Idrissa Mustafa Kitwana amempongeza Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende na Mama kwa maono ya kuanzisha Mashindano ya Dkt Samia & Dkt Mwinyi Cup katika kusapoti jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuimarisha michezo nchini. Mheshimiwa Kitwana amesema kufanya hivyo ni uzalendo wa hali ya juu na itatoa fursa kwa […]