KITAIFA
March 13, 2024
318 views 28 secs 0

WAZIRI MAKAMBA:RWANDA KUJENGA KIWANDA CHA MAZIWA MWANZA

Waziri Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na Waziri wa Nchi Kilimo na Mifugo wa Rwanda kujadili na kuweka sawa mikakati ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata maziwa jijini Mwanza. Waziri Makamba amesema uwepo wa Kiwanda hicho cha Maziwa Jijini Mwanza kitatoa soko la maziwa na […]