RC MAKONGORO AHIMIZA RAIS SAMIA KUUNGWA MKONO NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUKWA Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2024 na Mhe. Nyerere mara baada ya uwasilishwaji wa […]