UZINDUZI WA KITABU CHA SAMIA NA FALSAFA YA SAMIAOLOJIA UTAFANYIKA MACHI 19 MWAKA HUU
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Uzinduzi wa Kitabu cha Samia na Falsafa ya Samialojia kinatarajiwa kuzinduliwa Machi 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anatimiza miaka minne tangu aingie madarakani. Rais Dkt.Samia ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya uongozi wa Rais tangu Tanzania ipate Uhuru Mwaka 1961,ambapo amekuja na […]