MARA WARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI YA REA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Wamshukuru Rais Samia kwa kupunguza gharama za umeme 📌 Elimu kuhusu matumizi bora ya nishati yatolewa 📌 Watakiwa kuchangamkia fursa ya kuunganisha umeme Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali […]