KITAIFA
March 08, 2024
322 views 2 mins 0

RC CHALAMILA KILA MWANAMKE ATAMBUE KUWA ANA NAFASI KUBWA KWA TAIFA

– Asema mfano mzuri ni kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 08, 2024 wakati akitoa hotuba ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa huo yaliyofanyika katika Uwanja wa Mji Mwema Wilaya ya Kigamboni. RC Chalamila amesema tunapoadhimisha Siku ya […]