RC CHALAMILA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA WAKUBWA NA MACHINGA KARIAKOO
-Asikikiliza maoni na ushauri katoka pande zote mbili wafanya biashara wakubwa na machinga-Aelekeza kuundwa kamati ambayo itaongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 06,2024 amekutana na kufanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara wakubwa na machinga wa kariakoo katika ukumbi wa Arnatoglo […]