RAIS DKT MWINYI AKUTANA NA RAIS WA CAF
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF) kwa kuifanya Zanzibar kuwa mmoja ya waandaaji wa Mashindano ya African Football Championship mwaka huu. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipokutana na Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe […]