WAZIRI MKUU:WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTASHI WA RAIS SAMIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. “’Utashi wa kisiasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mfumo wa utoaji wa Haki Jinai lazima udhihirike kwenu ninyi viongozi mlio […]