RAIS SAMIA AMLILIA NDUGULILE,ATOA SALAMU ZA POLE
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM OFISI ya Bunge imefanyia mabadiliko ratiba ya maziko ya Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, ambaye pia ni Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambaye amefariki usiku wa kuamkia Novemba 27, mwaka huu nchini India, ambapo ratiba ya sasa inaonesha atazikwa Jumamne Desemba 3, […]