RAIS SAMIA ATIMIZA NDOTO YA MIAKA 50 YA TAIFA YA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA KUTOKA BWAWA LA MWALIMU NYERERE
_Rasmi mashine zote 9 za kuzalisha umeme Megawatts 2,115 zimekamilika, ndoto ya miaka 50 Rais Samia ameitimiza kwa miaka 4 tu kutoka kuukuta mradi ukiwa chini ya 33% hadi kuumaliza 100%._ Na Bwanku M Bwanku. Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati uliokua ukitekelezwa kwenye nchi yetu ni mradi wa kufua umeme kwa kutumia njia ya […]