DKT.MWINYI AFUTARISHA VIONGOZI WA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi katika futari aliyoiandaa. Hafla hiyo ya imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 22 Machi 2025. Ameeleza kuridhika kukamilisha Sadaka ya Futari kwa Mikoa yote […]